Makamu Wa Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe.Dkt Philp Isdor Mpango Akionyesha Kitabu Cha Muongozo Wa Hatifungani Ya Kijani Ya Mamlaka Ya Maji Tanga
Makamu Wa Raisi Wajamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango Akishudia Makabidhiano Ya Idhini Ya Uuzaji Wa Hati Fungani Ya Kijani Iliyotolewa Na Mamlaka Ya Masoko Ya Mitaji Na Dhamana.(CMSA)
Viongozi Mbalimbali Wa Serikali,Wakuu Wa Taasisi Za Umma Na Binafsi ,Wawekezaji Na Wadau Mbalimbali Walioshiriki Katika Hafla Ya Uzinduzi Wa Hati Fungani Ya Kijani Ya Tanga UWASA.
Viongozi Mbalimbali Wa Serikali,Wakuu Wa Taasisi Za Umma Na Binafsi ,Wawekezaji Na Wadau Mbalimbali Walioshiriki Katika Hafla Ya Uzinduzi Wa Hati Fungani Ya Kijani Ya Tanga UWASA.
Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mh. Samia Siluhu Hassan, akizindua rasmi Mradi wa kupeleka Maji Mji wa Muheza katika eneo la Kilapula Tanga
Tenki Kilapula kwa ajili Kuhifadhia Maji kwenye Mradi wa Kupeleka Maji Muheza
Sehemu ya Matenki ya kuhifadhia maji katika Mradi wa Maji Mabokweni
Sehemu ya Mtambo wa Kusafisha na Kutibu Maji Mowe
Sehemu ya wafanyakazi wa TANGAUWASA, wakishiriki katika Sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa Uboreshaji wa Huduma ya Maji Katika Jiji la Tanga awamu ya Pili