Mabayani Dam - Pande Tanga
Sigi Water

Announcements


Mnamo tarehe 4 Septemba 2012, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (“EWURA”) ilipokea maombi kutoka Mamlaka ya Majisafi na Majitaka ya Tanga ("Tanga UWASA") kwa ajili ya marekebisho ya bei za maji kwa miaka mitatu toka 2012/13 hadi 2014/15 kwa ajili ya mapitio na maidhinisho.

Katika kikao chake cha tarehe 19 Desemba 2012, Bodi ya Wakurugenzi ya EWURA ilijadili ombi hili na kutoa maamuzi kama inavyoonyeshwa kwenye Agizo kama linavyosomeka: Agizo hili litajulikana kama, Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Tanga (“Tanga UWASA”), Agizo la Kurekebisha Bei za Huduma ya Maji, 2012. Agizo hili litaanza kutekelezwa rasmi kuanzia tarehe 1 Januari, 2013.

DOWNLOAD KISWAHILI>>Download this file (FINAL Tanga ORDER 20th Dec 2012.pdf)Tanga Tariff Order

DOWNLOAD ENGLISH>>Download this file (FINAL Tanga ORDER 20th Dec 2012.pdf)Tanga Tariff Order


Jedwali 1(a): Bei ya Maji

Kundi la Wateja

Kundi la Matumizi (m3)

Bei ya Sasa (TZS/m3)

Bei Iliyoombwa
(TZS/m3)

Bei Iliyoidhinishwa
(TZS/m3)

2012/13

2013/14

2012/13

2013/14

Majumbani

 

0 - 5

565

820

910

700

680

>5 -10

565

870

970

750

720

>10-30

565

950

1,060

800

790

>30

565

1,100

1,200

950

910

Taasisi

 

0 - 5

565

820

910

700

680

>5 -10

565

870

970

750

720

>10-30

565

950

1,060

820

790

>30

565

1,100

1,200

950

910

Biashara

 

0-10

620

1,000

1,110

860

830

>10-30

620

1,100

1,210

950

910

>30

620

1,200

1,290

1030

990

Viwanda

0-30

740

1,100

1,200

950

900

>30

740

1,300

1,330

1100

1070

Magati

6.2

700

775

TZS 10/lita 20

TZS 10/lita 20

Wateja wa jumla

670

1,000

1,240

860

830

 

Jedwali 1(b): Bei ya Majitaka

Kundi la Wateja

Bei ya Sasa (TZS/m3)

Bei Iliyoombwa
(TZS/m3)

Bei Iliyoidhinishwa
(TZS/m3)

2012/13

2013/14

2012/13

2013/14

Majumbani

120

150

150

150

150

Taasisi

220

250

250

250

250

Biashara

225

300

300

278

278

Viwanda

302

350

350

302

302

Jedwali 1(c): Tozo ya Huduma (Service Charge)

Kundi la Wateja

Tozo ya Sasa (TZS/Mwezi)

Tozo Iliyoombwa (TZS/Mwezi)

Tozo Iliyoidhinishwa (TZS/Mwezi)

2012/13

2013/14

2012/13

2013/14

Majumbani

1,200

1500

1500

1500

1500

Taasisi

2,000

2500

2500

2400

2400

Biashara

2,000

2500

2500

2400

2400

Viwanda

2,500

3000

3000

3000

3000

 

Jedwali 1(d): Tozo ya Maunganisho Mapya ya Huduma ya Majisafi

Kundi la wateja

Tozo ya sasa (TZS)

Tozo Iliyoombwa (TZS)

Tozo Iliyoidhinishwa (TZS)

2012/13

2013/14

2012/13

2013/14

Majumbani

180,000

180,000

180,000

Tozo ya Maunganisho mapya ni kama ilivyoainishwa kwenye Kanuni za Sheria ya Maji za Mwaka 1997 Kifungu Na 12(3)

Taasisi

180,000

180,000

180,000

Biashara

180,000

180,000

180,000

Viwanda

180,000

180,000

180,000

 

Jedwali 1(e): Ada ya Kurejesha Huduma ya Maji Baada ya Kusitishwa

Kundi la Wateja

Ada ya sasa (TZS)

Ada Iliyoombwa (TZS)

Ada Iliyoidhinishwa (TZS)

2012/13

2013/14

2012/13

2013/14

Majumbani

Asilimia 10 ya deni

Asilimia 10 ya deni

Asilimia 10 ya deni

10,000

10,500

Taasisi

Asilimia 10 ya deni

Asilimia 10 ya deni

Asilimia 10 ya deni

14,000

15,000

Biashara

Asilimia 10 ya deni

Asilimia 10 ya deni

Asilimia 10 ya deni

15,000

15,500

Viwanda

Asilimia 10 ya deni

Asilimia 10 ya deni

Asilimia 10 ya deni

20,000

21,500

 

Jedwali 1(f): Ada ya Maunganisho ya Huduma ya Majitaka

Kundi la Wateja

Ada ya sasa
(TZS)

Ada Iliyoombwa (TZS)

Ada Iliyoidhinishwa (TZS)

2012/13

2013/14

2012/13

2013/14

Majumbani

10,000

50,000

50,000

Ada ya Maunganisho mapya ni kama ilivyoainishwa kwenye Kanuni za Sheria ya Maji za Mwaka 1997 Kifungu Na 12(3)

Taasisi

10,000

50,000

50,000

Biashara

10,000

50,000

50,000

Viwanda

10,000

50,000

50,000

 

 

 

 

 

Last Update

16 April, 2016